EMAIL US AT info@cslso.or.tz
CALL US NOW +255 767 710 320
DONATE NOW

Uzazi Salama Vijijin.

Mwenyekiti wa shirika la Community serve and life survival organization (Cslso) akiwa na Mbunge wa Jimbo la Kyerwa (CCM) mara tu baada ya kikao kifupi juu ya uanzishwaji wa mradi wa UZAZI SALAMA VIJIJINI unaotegemea kuazishwa katika jimbo hilo mwishon mwa mwaka huu.