EMAIL US AT info@cslso.or.tz
CALL US NOW +255 767 710 320
DONATE NOW

Miaka 20 Bila J.K.Nyerere.

Leo tarehe 14, October, 2019 tunaombeleza na kuazimisha miaka 20 tangu kifo cha Baba wa Taifa, Mwl. JK Nyerere.

Uongozi wa Shirika la Community serve and life survival organization (CSLSO) ukishirikiana na manejimenti ya GreenProject inapenda kukumbuka mchango wa Mwalimu katika kuyatunza mazingira na kuwekeza katika rasilimali ya misitu ambayo kwa sasa tunajivunia nayo ikiwemo msitu wa Buhindi. Mungu ailaze roho ya marehemu mahala patakatifu Amen.