Panda Miti Okoa Maisha na Tengeneza Uchumi Wako – Community Serve and Life Survival Organization
EMAIL US AT info@cslso.or.tz
CALL US NOW +255 767 710 320
DONATE NOW

    Panda Miti Okoa Maisha na Tengeneza Uchumi Wako

    Na Sadick Rutenge

    Ni ukweli usio pingwa kwamba kupanda miti ni suala la kiungwana na la kiuzalendo. Maana unatengeneza uchumi kwa maisha yako ya baadae na pia unatengeneza  mazingira ya maisha bora kwa viumbe wengine. Sisi tumeamua kuanza kupanda  miche 500,000. Karibu utuunge mkono tuokoe maisha ya watu, wanyama na mimea.

    Hakika sisi tunaweza kuirudisha Geita katika hali ya kijani.

    #DamuyaMzalendo

    undefined