EMAIL US AT info@cslso.or.tz
CALL US NOW +255 767 710 320
DONATE NOW

Salam za Pole kwa Watanzania

Shirika la community serve and life survival organization CSLSO Linapenda kutoa Salam za pole kwa Watanzania wote na Dunia kwa ujumla kwa kumpotenza  Rais wa awamu ya tatu Mh. Benjamin Willium Mkapa. Tunaiombea roho ya marehemu ilazwe pema peponi Amina