EMAIL US AT info@cslso.or.tz
CALL US NOW +255 767 710 320
DONATE NOW

MAINTAIN, MAKE IT HAPPEN, MAKE THE WORLD GREEN

Je wajua?

Wanyama hawana maduka ya kununua vyakula wala vinywaji: Wanyama hutegemea uoto wa asili na ule ulotunzwa na wanadamu kwa ajili ya maisha yao.

Binadamu tumepewa uwezo na akili za utambuzi kiasi kwamba tunaweza kuwa msaada kwa viumbe wengine au kuwa kikwazo kwa maisha ya viumbe wengine. Tunapaswa kutunza uoto wa asili kwa faida ya viumbe wengine.

Maintain, Make it Happen, Make the World Green with GreenProject