EMAIL US AT info@cslso.or.tz
CALL US NOW +255 767 710 320
DONATE NOW

SHIRIKA LA CSLSO KUTANGAZA KAZI


Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa Ofisi za Shirika , Mwenyekiti wa Shirika la Community Serve and Life Survival Organization (CSLSO) Ndg. Burhan Kassimu amesema shirika hilo lipo katika harakati za kuanza kutekeleza Mradi Mkubwa wa GreenProject katika maeneo yaliyo athiriwa na shughuli za binadamu Mkoani Geita, hvyo anatarajia kutangaza nafasi za kazi. Pia ameongeza kuwa nafasi za kazi zitakuwa zile za kujitolea (Volunteer) na zile za  kuajiriwa moja kwa moja. Hivo amewasihi wahitimu kuendelea kutembelea tovuti yao kwa taarifa zaidi.