EMAIL US AT info@cslso.or.tz
CALL US NOW +255 767 710 320
DONATE NOW

CSLSO-YAKABIDHI VIFAA VYA UJENZI SHULENI

 Mwenyekiti wa Shirika la Community Serve and Life Survival Organization Mh. BURHAN KASSIMU RUTENGE akikabidhi baadhi ya Vifaa vya ujenzi kwa mwakilishi wa Shule ya Nyantindi Primary iliopo Geita Mjini kuunga mkono juhudi za kuongeza vyumba vya madarasa kwa shule hiyo. Vifaa vingine vilivyo kabidhiwa ni nondo 10.