EMAIL US AT info@cslso.or.tz
CALL US NOW +255 767 710 320
DONATE NOW

NGO TOVUT (WEBSITE) PENDWA


Akitoa uwasilishaji katika kikao cha maandalizi ya robo Mwaka Admin wa Tovuti hiyo Mh. SADICK KASSIM RUTENGE amewaeleza wanahabari kuwa kwa sasa tovuti ya www.cslso.or.tz ni tovuti pendwa yenye wastan wa watazamaji (Viewers) hadi kufikia 10 milion kwa mwezi kutoka sehem mbali mbali duniani. Mh. Rutenge ameendelea kuwakaribisha watazamaji kuendelea kupata taarifa mbali mbali za kijamii kutoka katika website hiyo.