EMAIL US AT info@cslso.or.tz
CALL US NOW +255 767 710 320
DONATE NOW

MKAKATI WA KUKUZA UELEWA WA KODI KATIKA SEKTA YA MADINI

TRA MKOA WA GEITA ni moja wapo ya taasisi iliyoweka Jukwaa lake katika Maonesho ya Teknolojia ya Uchenjuaji wa Madini Mkoani Geita. Akiongea Mh. CPA. Mtafya Lutufyo anawakaribisha wafanya biashara wote katika banda hilo ili waweza kupata Elimu ya Kodi. Pia ameongeza kuwa wamejipanga kutoa elimu ya utozaji wa kodi katika sekta ya wachimbaji wadogo. Pia Mh. CPA. Sadick K.Rutenge ambaye ni mtaalamu wa Utozaji wa kodi za MADINI amesema serikali imewekeza katika kuwaandaa wataalamu kuhakikisha elimu ya mchimbaji mdogo inawafikia wafanya  biashara kwa wakati.