EMAIL US AT info@cslso.or.tz
CALL US NOW +255 767 710 320
DONATE NOW

WAZIRI MKUU KWENYE WIKI YA VIJANA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassimu Majaliwa Majaliwa akiwa Katika uzinduzi wa wiki ya vijana amewaasa vijana kuwa, waachane na fikra za kusema kuwa vijana ni Taifa la kesho maana kamwe kesho haijawahi kufika bali vijana ni Taifa la leo. Na ndiyo maana serikali ya Mh.Samia S. Hassan imewaamini vijana na kuwapa nafasi mbali mbali za uongozi katika serikali hiyo. Hivo kuwasihi vjana wachape kazi.