EMAIL US AT info@cslso.or.tz
CALL US NOW +255 767 710 320
DONATE NOW

HISANI YA MSTAAFU KWA MALAIKA

Hisani ya Mzee Amza Rugemalila kwa wanafunzi wanao ishi katika maisha magumu. Mzee Mmoja katika Mji wa bukoba msataafu wa mamlaka ya mapato TRA ameamua kuwapa furaha Watoto wanao ishi katika maisha magumu kwa kuwavalisha sale mpya za shule kuanzia shati, sketi kaptura,sweta na viatu ikiwa ni moja ya swadaka yake kwa Watoto hao. Akiongea na Meneja wa NDY GARMENT Mkoani Geita kiwanda kilicho tengeneza sale hizo Mr.Joseph Msenye, amesema mzee huyo ameamua kuweka oda ya kutengeneza na kisha kusambaza sale hizo Grade 1 ambazo huuzwa kwa bei kubwa ili kuwafariji Watoto wanao ishi maisha magumu. Mungu ampe furaha maisha yake yote sawa na furaha aliyo wapa Watoto