EMAIL US AT info@cslso.or.tz
CALL US NOW +255 767 710 320
DONATE NOW

TAARIFA KWA WALIO OMBA KAZI

Hallo
Rafiki wa Survival Hospital
Tunashukuru kwa kutuamini na kutuma maombi yenu ya kuomba ajira. Hii inaonesha jinsi gani mmetuamini na kuwa na shauku ya kufanya kazi na sisi. Asanteni sana. Tarehe 10, Januari 2023, tunafunga dirisha la maombi badala ya tarehe 20, Januari 2023 hii ni kutokana na mwitikio mzuri mlio onesha.Baada ya hapo, tutatumia hizo siku 10, kupitia maombi yenu na tarehe 20, January 2023 tutatoa utaratibu wa kufanya interview. Tutakuwa na interview mbili yaani simplified written online interview na Oral ambayo mwombaji atalazimika kuifanyia kwenye ofsi zetu ili apate kuyaona mazingira ya kazi.

Asanteni sana..
“We are the place of good hope”
Wako
John K
For Administrator