Habari ndugu
Tunaendelea kushukuru kwa kuendelea kutuamini. Wewe kwetu una thamani kubwa sana. Tunaendelea kufanyia kazi maombi yenu. Tunatarajia kutoa mrejesho (short listed) tarehe 27 Januari 2023. Hivyo endelea kufuatilia kurasa za Survival Hospital kwa Taarifa zaidi
John K
For Administrator 🙏
Comments are closed.