EMAIL US AT info@cslso.or.tz
CALL US NOW +255 767 710 320
DONATE NOW

TAARIFA KWA WALIO OMBA NAFASI YA RASILIMALI WATU

Habari

Tunapenda kuomba radhi kwa walio omba nafasi ya Rasilimali watu. Jana mfumo wetu kwa ku upload unicheza kidogo na kutuma maswali ambayo siyo sahihi. Tunaomba radhi na tunarekebisha hilo na muda wenu tutaulinda.

wako

John