EMAIL US AT info@cslso.or.tz
CALL US NOW +255 767 710 320
DONATE NOW

TANGAZO LA AJIRA

TANGAZO LA FURSA ZA AJIRA

Tuma maombi yako kabla ya Tarehe 1. January, 2020, Saa 11:00 Jioni

Community Serve and life Survival Origination (CSLSO) ni shirika lisilo kuwa la kiserikali (Non Governmental Organization) lenye usajiri No. 00NGO/0009517 wa Tarehe 15, February, 2018 chini ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto (The Ministry of Community Development, Gender and Children) linalo jishughulisha na shughuli za mazingira (Environmental Conservation), maendeleo ya afya ya jamii (Community Heath Development ) na maendeleo ya jamii (Community Development) ikiwa ni pamoja na kuwajengea uwezo vijana ili waweze kujitenegea.

Mradi wa Kujengea Uwezo Vijana (Youth Empowerment)

Katika kuwajengea uwezo vijana, shirika linatangaza NAFASI 20 kwa vijana ambao wako tayari kujifunza kwa vitendo kazi za uchomeleaji (Workshop Activities). Muombaji HATAKIWI KULIPIA CHOCHOTE katika mafunzo haya.

Bonyeza hapa kupata TANGAZO LA AJIRA

Bonyeza hapa Kupata FOMU YA MAOMBI

Bonyeza hapa kufahamu KANUNI YA RASILIMALI WATU

Bonyeza hapa kupata KANUNI YA USALAMA KAZINI

Waweza lifahamu Shirika kwa kutembelea Website