EMAIL US AT info@cslso.or.tz
CALL US NOW +255 767 710 320
DONATE NOW

Corona Inazuilika: Rais Dr. JP Magufuli Atoa Tamko

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Rais Dkt. John Joseph Pombe Magufuli awataka Watanzani kuchukua tahadhali kujilinda na maambukizi  ya ugojwa hatari wa Corona pia amesisitiza  vyombo vya habari kuhakikisha wanahamasisha wananchi kujilinda na maambukizi.