EMAIL US AT info@cslso.or.tz
CALL US NOW +255 767 710 320
DONATE NOW

Salamu za Pole kwa Warundi

S

Kurugenzi ya shirika la CSLSO TZ linatoa salamu za pole kwa Warundi wote na Afrika Mashariki kwa ujumla kwa kumpoteza kiongozi shupavu na Mlezi wa warundi wote. Tunaungana na ninyi katika kipindi hiki kigumu.