EMAIL US AT info@cslso.or.tz
CALL US NOW +255 767 710 320
DONATE NOW

POLENI WANAKYERWA- POLEN WATANZANIA


Uongozi wa Shirika la Community Serve and Life Survival Organization unatoa pole wa wahanga na wazazi wa wanafuzi pamoja na watanzania kwa ujumla kwa kuwapoteza wanafunzi 10 na majeruhi katika ajali ya moto shuleni Byamungu Islamic Wilayani Kyerwa. Mungu awape uvumilivu katika kipindi hiki kigumu.