EMAIL US AT info@cslso.or.tz
CALL US NOW +255 767 710 320
DONATE NOW

All Posts by admin

ABOUT WRITTEN INTERVIEW

Hallo Dear applicants We acknowledge and appreciate to receive your written response regarding online written interview. All short listed candidates for Oral interview will be contacted through their emails.  Please keep visiting your email after 14 days from today and keep visiting our social media page for more updates Regards

Read More

TAARIFA KWA WALIO OMBA NAFASI ZA AJIRA

Habari ndugu Tunaendelea kushukuru kwa kuendelea kutuamini. Wewe kwetu una thamani kubwa sana. Tunaendelea kufanyia kazi maombi yenu. Tunatarajia kutoa mrejesho (short listed) tarehe 27 Januari 2023. Hivyo endelea kufuatilia kurasa za Survival Hospital kwa Taarifa zaidi John K For Administrator 🙏

Read More

TAARIFA KWA WALIO OMBA KAZI

Hallo Rafiki wa Survival Hospital Tunashukuru kwa kutuamini na kutuma maombi yenu ya kuomba ajira. Hii inaonesha jinsi gani mmetuamini na kuwa na shauku ya kufanya kazi na sisi. Asanteni sana. Tarehe 10, Januari 2023, tunafunga dirisha la maombi badala ya tarehe 20, Januari 2023 hii ni kutokana na mwitikio

Read More

JOB VACANCIES AT SURVIVAL HOSPITAL

SURVIVAL HOSPITAL  is the hospital based in Kyerwa District, Kagera Region under the full ownership of NGS Co. Ltd, the company registered in 2014 with BRELA registration No. 142355779 with its Head Quarter in Geita Region. The company principal activities are dealing with hardware supplies, garments supplies, involving in mining

Read More

HISANI YA MSTAAFU KWA MALAIKA

Hisani ya Mzee Amza Rugemalila kwa wanafunzi wanao ishi katika maisha magumu. Mzee Mmoja katika Mji wa bukoba msataafu wa mamlaka ya mapato TRA ameamua kuwapa furaha Watoto wanao ishi katika maisha magumu kwa kuwavalisha sale mpya za shule kuanzia shati, sketi kaptura,sweta na viatu ikiwa ni moja ya swadaka

Read More

FAIDA ZA TEHAMA KWA TRA

Akijibu swali wakati wa Mahojiano na TCRA katika maadhimisho ya kilele cha mbio za mwenge na fursa kwa vijana walipo taka kujua faida za TEHAMA kwa TRA, CPA Sadick Rutenge amesema kuwa  TRA inatumia TEHAMA  katika shughuli mbalimbali zikiwa ni pamoja na 1. Usajili wa walipa kodi 2. Kutuma ritani

Read More