Shirika la Community Serve and Life Survival Organization linawatakia heri Pasaka
Shirika la Community Serve and Life Survival Organization linawatakia heri Pasaka
Akiongea na Meneja wa NDY GARMENTS, Mh. Joeseph C. Msenye amesema mafunzo hayo yatawahusisha watu 400 kutoka maeneo mbali mbali Mkoani Geita kwa kipindi cha miezi 6 kwa mwaka 2021 BONYEZA LINK YA MAFUNZO
Akitoa uwasilishaji katika kikao cha maandalizi ya robo Mwaka Admin wa Tovuti hiyo Mh. SADICK KASSIM RUTENGE amewaeleza wanahabari kuwa kwa sasa tovuti ya www.cslso.or.tz ni tovuti pendwa yenye wastan wa watazamaji (Viewers) hadi kufikia 10 milion kwa mwezi kutoka sehem mbali mbali duniani. Mh. Rutenge ameendelea kuwakaribisha watazamaji kuendelea
Mwenyekiti wa Shirika la Community Serve and Life Survival Organization Mh. BURHAN KASSIMU RUTENGE akikabidhi baadhi ya Vifaa vya ujenzi kwa mwakilishi wa Shule ya Nyantindi Primary iliopo Geita Mjini kuunga mkono juhudi za kuongeza vyumba vya madarasa kwa shule hiyo. Vifaa vingine vilivyo kabidhiwa ni nondo 10.
Mara ufikapo Tanzania, hivi ni mojawapo ya vivutio ambavyo utakutana navyo. Tuvitunze vidumu ili uwe urithi wetu wa sasa na wa baadae
Mnamo 1911 mabaki ya mjusi mkubwa kuliko yote duniani yaligunduliwa Tanzania. Hata hivo mabaki hayo yalipelekwa katika jumba la Makumbusho Nchini Ujeruman.
Hii ni fahari ya Tanzania. Tunapaswa kuwatunza na kuwalinda wanyama hawa wasijepotea kama Mijuzi mirefu na Tendagulu.
The Photo was taken from Gengesaba near by Nyarugusu Geita Region where human activities contributes to environmental degradation. Community serve and life survival organization (CSLSO) is taking initiative to restore the degraded environment to its origin situation