Muda mfupi baada ya Mkutano na Wanakijji cha Rushe Mwenyekiti wa Shirika la Community Serve and Life Survival Organization Mh. Burhan Kassimu akiwa katika picha ya pamoja na wana kijiji
Muda mfupi baada ya Mkutano na Wanakijji cha Rushe Mwenyekiti wa Shirika la Community Serve and Life Survival Organization Mh. Burhan Kassimu akiwa katika picha ya pamoja na wana kijiji
Community serve and life survival organization under GreenProject encourage the community especially the youth to invest in Agro business by planting fruits trees like orange trees by so doing they increase their economies at the same time they conserve environment.
Thanks Community serve and life survival organization in Geita under GreenProject is expecting to conduct seminar on how use mined land for economic activities. The Cslso has established the large nurseries Pinus Carbea at Shilabela- Geita with the aim of training the community by doing. The Chair person is inviting
Preparation of PTEROCARPUS TINCTORIUS commonly known us MKOLA in Geita these are tree nurseries used for rehabilitation of mined land. It’s three year now Community serve and life survival organization supplies there nurseries to small and large scale miners to protect the disappearance of its existence. This is because
JOB OPPORTUNITIES Community Serve and Life Survival Organization (CSLSO) invites qualifies, dynamic, intelligent, and result oriented Tanzanian with high integrity to fill vacant posts mentioned bellow:- 1.0 COMMUNITY SERVE AND LIFE SURVIVAL ORGANIZATION Community Serve and Life Survival Organization is the national non-governmental organization registered under The Ministry of
Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa Ofisi za Shirika , Mwenyekiti wa Shirika la Community Serve and Life Survival Organization (CSLSO) Ndg. Burhan Kassimu amesema shirika hilo lipo katika harakati za kuanza kutekeleza Mradi Mkubwa wa GreenProject katika maeneo yaliyo athiriwa na shughuli za binadamu Mkoani Geita,
Akimkabidhi Afisa Mtendaji kwa kijiji c ha Rushe MABATI 92, mwakilishi wa kampuni hiyo maarufu kama NDY GARMENTS iliopo mkoani Geita Ndg. Buruhan Kassimu Rutenge amesema Kampuni imetoa msaada huo baada ya Uongozi wa Shirika la Community Serve and Life Survival Organization kuitembelea Shule ya Msingi Rushe iliopo kata Mabira
Mshahiri ameonesha namna mimba za utotoni huwa kikwazo kwa ndoto za wanafunzi
Uongozi wa Shirika la Community Serve and Life Survival Organization unatoa pole wa wahanga na wazazi wa wanafuzi pamoja na watanzania kwa ujumla kwa kuwapoteza wanafunzi 10 na majeruhi katika ajali ya moto shuleni Byamungu Islamic Wilayani Kyerwa. Mungu awape uvumilivu katika kipindi hiki kigumu.
View this post on Instagram Karibu tuungane na Malcolm katika kampeni yake ya #AsanteDaktari yenye lengo la kuchangia damu katika Mpango wa Taifa wa Damu Salama Jumamosi Septemba 12 Hospitali ya Muhimbili Cc. @masoudkipanya // @malcolmallymasoud2019 // @cloudsfmtz // @cloudstv A post shared by Seynation Digital 🇹🇿 (@seynation) on Sep 10, 2020 at