Uongozi wa Community Serve and Life Survival Organization unapenda kuwatakia heri katika siku hii ya uhuru. Kisha inawakumbusha kuwa tuwekeze kwa kuyalinda mazingira S. K. Rutenge
Uongozi wa Community Serve and Life Survival Organization unapenda kuwatakia heri katika siku hii ya uhuru. Kisha inawakumbusha kuwa tuwekeze kwa kuyalinda mazingira S. K. Rutenge
Na Sadick Rutenge Ni ukweli usio pingwa kwamba kupanda miti ni suala la kiungwana na la kiuzalendo. Maana unatengeneza uchumi kwa maisha yako ya baadae na pia unatengeneza mazingira ya maisha bora kwa viumbe wengine. Sisi tumeamua kuanza kupanda miche 500,000. Karibu utuunge mkono tuokoe maisha ya watu, wanyama na
Je wajua kuwa ukiwekeza katika kilimo cha miti hakuna hasara? Ukiwa na GreenProject waweza kutengeneza pensheni yako ambayo haiathiriwi na kikokotoo. Wala haikuhitaji wewe kuwa mwajiriwa ili uwe na uhakika wa pensheni. Wala huitaji kuomba kuchukua pensheni yako uliyoiandaa kwa mda mrefu. Na kwa uhakika pensheni yako hataathiriwa na mabadiliko
One day my friend from Sweden approached me and told me to donate. Ofcause I had nothing to donate as my pocket was empty. But he clarified that plant at least single tree per month, this will be the best donation ever. My Friend you do not need to be
By Sadick Kassim There is no miracle to create carbon free zone without human initiatives. Environment is the fundamental aspect for everything in the world. No way; we have to get what we deserve and not what we want.
By Sadick Rutenge Project Summary: Project Title: Reducing the Effect of Climate Changes Though Mined Land Rehabilitation in the environment affected by Small Scale Mining Community Serve and life survival organization has developed this proposed project in responses to building in works that the Government has been doing in the
By Sadick Rutenge Mining without rehabilitation may lead to disappearing of some animal and plants species. GreenProject we are redy for rehabilitation.
By Sadick Rutenge In the industrial world, survival of living things depends most on green life. So no need of cutting trees without replacements. Because cutting without replacement it’s effect not only for plants but also accelerates to social economic and humanitarian effect . Protect green life, protect lives
Leo tarehe 14, October, 2019 tunaombeleza na kuazimisha miaka 20 tangu kifo cha Baba wa Taifa, Mwl. JK Nyerere. Uongozi wa Shirika la Community serve and life survival organization (CSLSO) ukishirikiana na manejimenti ya GreenProject inapenda kukumbuka mchango wa Mwalimu katika kuyatunza mazingira na kuwekeza katika rasilimali ya misitu ambayo
By Sadick Rutenge Investment in green has no perpetual loss. Some of the arguments on investment in green can be Assured future income from timber products protect humid cover sevre lives of animals and plants source of rainfall protect waterspring and its source Wind break Create best habitats Nice Environmental