EMAIL US AT info@cslso.or.tz
CALL US NOW +255 767 710 320
DONATE NOW

BLOG

OUR BLOG

MH. MAJALIWA KWA MAGUFULI

Katika sherehe za kilele cha mbio za mwenge zilizo fanyika Wilaya ya Chato Mkoani Geita, Mh. Kassimu Majaliwa akiwa ameambatana na viongozi mbali mbali wa serikali wamelitembelea kaburi la aliye kuwa Raisi wa JMT Dr. John Magufuli Wilayani Chato.

Read More

WAZIRI MKUU KWENYE WIKI YA VIJANA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassimu Majaliwa Majaliwa akiwa Katika uzinduzi wa wiki ya vijana amewaasa vijana kuwa, waachane na fikra za kusema kuwa vijana ni Taifa la kesho maana kamwe kesho haijawahi kufika bali vijana ni Taifa la leo. Na ndiyo maana serikali ya Mh.Samia

Read More

MKAKATI WA KUKUZA UELEWA WA KODI KATIKA SEKTA YA MADINI

TRA MKOA WA GEITA ni moja wapo ya taasisi iliyoweka Jukwaa lake katika Maonesho ya Teknolojia ya Uchenjuaji wa Madini Mkoani Geita. Akiongea Mh. CPA. Mtafya Lutufyo anawakaribisha wafanya biashara wote katika banda hilo ili waweza kupata Elimu ya Kodi. Pia ameongeza kuwa wamejipanga kutoa elimu ya utozaji wa kodi

Read More

SHIRIKA LA CLARIFY YAANDAA KIKOSI

 Shirika lisilo la kiserikali Clarify yaendesha mafunzo mjin Geita kuandaa wafanya biashara kufanya biashara yenye tija. Akiongea Mtaalam wa masuala ya kodi wakati wa mafunzo hayo CPA Sadick Kassimu Rutenge amesema sasa serikali imeweka mazingira mazuri kwa mfanya biashara.

Read More

NBC FURSA PANA KWA WACHIMBAJI WADOGO

Akifungua Mafunzo hayo Mkuu wa Wilaya wa Geita katika ukumbi wa EPZ Mkoan GEITA, Mkuu wa wilaya amewakaribisha wachinmbaji wote mkoan Geita kutumia fursa hiyo kwa kuitumia vzur bank ya NBC kuongeza mitaji yao kunufaika zaidi.

Read More

MAFUNZO KWA AKINA MAMA WAJASILIAMALI

Katika kuwaendeleza wajasiliamali akina mama mkoa wa Geita, Benk ya CRDB ikishirikiana na chama cha wanawake wajasiliamali TWCC na chama cha wafanya biashara TCCIA  wameandaa mafunzo kwa ajiri ya wafanya biashara wanawake Mkoa wa Geita.

Read More