EMAIL US AT info@cslso.or.tz
CALL US NOW +255 767 710 320
DONATE NOW

BLOG

OUR BLOG

MAFUNZO YA UJASILIAMALI

Akiongea na Meneja wa NDY GARMENTS, Mh. Joeseph C. Msenye amesema mafunzo hayo yatawahusisha watu 400 kutoka maeneo mbali mbali Mkoani Geita kwa  kipindi cha miezi 6 kwa mwaka 2021 BONYEZA LINK YA MAFUNZO 

Read More

NGO TOVUT (WEBSITE) PENDWA

Akitoa uwasilishaji katika kikao cha maandalizi ya robo Mwaka Admin wa Tovuti hiyo Mh. SADICK KASSIM RUTENGE amewaeleza wanahabari kuwa kwa sasa tovuti ya www.cslso.or.tz ni tovuti pendwa yenye wastan wa watazamaji (Viewers) hadi kufikia 10 milion kwa mwezi kutoka sehem mbali mbali duniani. Mh. Rutenge ameendelea kuwakaribisha watazamaji kuendelea

Read More

CSLSO-YAKABIDHI VIFAA VYA UJENZI SHULENI

 Mwenyekiti wa Shirika la Community Serve and Life Survival Organization Mh. BURHAN KASSIMU RUTENGE akikabidhi baadhi ya Vifaa vya ujenzi kwa mwakilishi wa Shule ya Nyantindi Primary iliopo Geita Mjini kuunga mkono juhudi za kuongeza vyumba vya madarasa kwa shule hiyo. Vifaa vingine vilivyo kabidhiwa ni nondo 10.

Read More

MALI ASILI

 Mara ufikapo Tanzania, hivi ni mojawapo ya vivutio ambavyo utakutana navyo. Tuvitunze vidumu ili uwe urithi wetu wa sasa na wa baadae

Read More

MJUSI MKUBWA (DINOSAURS)

Mnamo 1911 mabaki ya mjusi mkubwa kuliko yote duniani yaligunduliwa Tanzania. Hata hivo mabaki hayo yalipelekwa katika jumba la Makumbusho Nchini Ujeruman.

Read More

MALI ASILI

 Hii ni fahari ya Tanzania. Tunapaswa kuwatunza na kuwalinda wanyama hawa wasijepotea kama Mijuzi mirefu na Tendagulu.

Read More

HOW HUMAN ACTIVITIES DESTROY ENVIRONMENT

The  Photo was taken from Gengesaba near by Nyarugusu Geita Region where human activities contributes to environmental degradation. Community serve and life survival organization (CSLSO) is taking initiative to restore the degraded environment to its origin situation

Read More