Afsa madini mkazi akikabidhi Lesen za uchimbaji katika kijiji cha Ikuzi.
Afsa madini mkazi akikabidhi Lesen za uchimbaji katika kijiji cha Ikuzi.
Shirika lisilo la kiserikali Clarify yaendesha mafunzo mjin Geita kuandaa wafanya biashara kufanya biashara yenye tija. Akiongea Mtaalam wa masuala ya kodi wakati wa mafunzo hayo CPA Sadick Kassimu Rutenge amesema sasa serikali imeweka mazingira mazuri kwa mfanya biashara.
Akifungua Mafunzo hayo Mkuu wa Wilaya wa Geita katika ukumbi wa EPZ Mkoan GEITA, Mkuu wa wilaya amewakaribisha wachinmbaji wote mkoan Geita kutumia fursa hiyo kwa kuitumia vzur bank ya NBC kuongeza mitaji yao kunufaika zaidi.
Katika kuwaendeleza wajasiliamali akina mama mkoa wa Geita, Benk ya CRDB ikishirikiana na chama cha wanawake wajasiliamali TWCC na chama cha wafanya biashara TCCIA wameandaa mafunzo kwa ajiri ya wafanya biashara wanawake Mkoa wa Geita.
Mara ufikapo Tanzania, hivi ni mojawapo ya vivutio ambavyo utakutana navyo. Tuvitunze vidumu ili uwe urithi wetu wa sasa na wa baadae
Hii ni fahari ya Tanzania. Tunapaswa kuwatunza na kuwalinda wanyama hawa wasijepotea kama Mijuzi mirefu na Tendagulu.
Mshahiri ameonesha namna mimba za utotoni huwa kikwazo kwa ndoto za wanafunzi
Je wajua? Wanyama hawana maduka ya kununua vyakula wala vinywaji: Wanyama hutegemea uoto wa asili na ule ulotunzwa na wanadamu kwa ajili ya maisha yao. Binadamu tumepewa uwezo na akili za utambuzi kiasi kwamba tunaweza kuwa msaada kwa viumbe wengine au kuwa kikwazo kwa maisha ya viumbe wengine. Tunapaswa kutunza
Maintain Make it happen Make the World Green