Akiongea na Meneja wa NDY GARMENTS, Mh. Joeseph C. Msenye amesema mafunzo hayo yatawahusisha watu 400 kutoka maeneo mbali mbali Mkoani Geita kwa kipindi cha miezi 6 kwa mwaka 2021 BONYEZA LINK YA MAFUNZO
Akiongea na Meneja wa NDY GARMENTS, Mh. Joeseph C. Msenye amesema mafunzo hayo yatawahusisha watu 400 kutoka maeneo mbali mbali Mkoani Geita kwa kipindi cha miezi 6 kwa mwaka 2021 BONYEZA LINK YA MAFUNZO
Akitoa uwasilishaji katika kikao cha maandalizi ya robo Mwaka Admin wa Tovuti hiyo Mh. SADICK KASSIM RUTENGE amewaeleza wanahabari kuwa kwa sasa tovuti ya www.cslso.or.tz ni tovuti pendwa yenye wastan wa watazamaji (Viewers) hadi kufikia 10 milion kwa mwezi kutoka sehem mbali mbali duniani. Mh. Rutenge ameendelea kuwakaribisha watazamaji kuendelea
The Photo was taken from Gengesaba near by Nyarugusu Geita Region where human activities contributes to environmental degradation. Community serve and life survival organization (CSLSO) is taking initiative to restore the degraded environment to its origin situation
Muda mfupi baada ya Mkutano na Wanakijji cha Rushe Mwenyekiti wa Shirika la Community Serve and Life Survival Organization Mh. Burhan Kassimu akiwa katika picha ya pamoja na wana kijiji
Community serve and life survival organization under GreenProject encourage the community especially the youth to invest in Agro business by planting fruits trees like orange trees by so doing they increase their economies at the same time they conserve environment.
View this post on Instagram Karibu tuungane na Malcolm katika kampeni yake ya #AsanteDaktari yenye lengo la kuchangia damu katika Mpango wa Taifa wa Damu Salama Jumamosi Septemba 12 Hospitali ya Muhimbili Cc. @masoudkipanya // @malcolmallymasoud2019 // @cloudsfmtz // @cloudstv A post shared by Seynation Digital 🇹🇿 (@seynation) on Sep 10, 2020 at
TANGAZO LA NA NAFASI ZA KAZI NA UWAKALA Ndyamukama and Sad General Limited ni Kampuni iliyosajiriwa na BRELA Chini ya Sheria za Makampuni (Company Ordinance Act) yenye usajiri No. 291544 wa Mei, Mwaka 2014 usajiri uliyofanyiwa mabadiliko mwaka 2020 na kupewa usajiri No.142355779 inayo jishughulisha na utengenezaji wa sweta za
Maintain Make it happen Make the World Green