EMAIL US AT info@cslso.or.tz
CALL US NOW +255 767 710 320
DONATE NOW

Uncategorized

GREEN PROJECT

   Community serve and life survival organization under GreenProject encourage the community especially the youth to invest in Agro business by planting fruits trees like orange trees by so doing they increase their economies at the same time they conserve environment.

Read More

ASANTE DAKTARI

View this post on Instagram Karibu tuungane na Malcolm katika kampeni yake ya #AsanteDaktari yenye lengo la kuchangia damu katika Mpango wa Taifa wa Damu Salama Jumamosi Septemba 12 Hospitali ya Muhimbili Cc. @masoudkipanya // @malcolmallymasoud2019 // @cloudsfmtz // @cloudstv A post shared by Seynation Digital 🇹🇿 (@seynation) on Sep 10, 2020 at

Read More

TANGAZO LA AJIRA

TANGAZO LA NA NAFASI ZA KAZI NA UWAKALA Ndyamukama and Sad General Limited ni Kampuni iliyosajiriwa na BRELA Chini ya Sheria za Makampuni (Company Ordinance Act) yenye usajiri No. 291544 wa Mei, Mwaka 2014  usajiri uliyofanyiwa mabadiliko mwaka 2020 na kupewa usajiri No.142355779 inayo jishughulisha na utengenezaji wa sweta za

Read More

Salam za Pole kwa Watanzania

Shirika la community serve and life survival organization CSLSO Linapenda kutoa Salam za pole kwa Watanzania wote na Dunia kwa ujumla kwa kumpotenza  Rais wa awamu ya tatu Mh. Benjamin Willium Mkapa. Tunaiombea roho ya marehemu ilazwe pema peponi Amina 

Read More

Salamu za Pole kwa Warundi

S Kurugenzi ya shirika la CSLSO TZ linatoa salamu za pole kwa Warundi wote na Afrika Mashariki kwa ujumla kwa kumpoteza kiongozi shupavu na Mlezi wa warundi wote. Tunaungana na ninyi katika kipindi hiki kigumu.

Read More

TANGAZO LA AJIRA NA UWAKALA

  COMMUNITY SERVE AND LIFE SURVIVAL ORGANIZATION (CSLSO)          Contact: info@cslso.or.tz, Web: www.cslso.or.tz, Twitter: @SurveSurvival, Insta: servesurvival. P.O.BOX 215 GEITA 05, June, 2020   TANGAZO LA NA NAFASI ZA KAZI NA UWAKALA Community Serve and life Survival Origination (CSLSO) ni shirika lisilo kuwa la kiserikali (Non Governmental Organization) lenye usajiri

Read More

CORONA : TAMKO LA RAIS DR. JP MAGUFULI

View this post on Instagram #VIDEO "Mpaka sasa nchi yetu imebaini wagonjwa kumi na wawili, wanne ni raia wa nje na wanane ni raia wa Tanzania" – Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli. A post shared by @ voiceofbongotv on Mar 22, 2020 at 4:31am PDT

Read More