TANGAZO LA NA NAFASI ZA KAZI NA UWAKALA
Ndyamukama and Sad General Limited ni Kampuni iliyosajiriwa na BRELA Chini ya Sheria za Makampuni (Company Ordinance Act) yenye usajiri No. 291544 wa Mei, Mwaka 2014 usajiri uliyofanyiwa mabadiliko mwaka 2020 na kupewa usajiri No.142355779 inayo jishughulisha na utengenezaji wa sweta za shule.
Bonyeza Kupata TANGAZO LA AJIRA
Bonyeza hapa kupata FOMU
Joseph Msenya
Meneja Mkuu
Comments are closed.